Sisi ni nani

MediNetz Magdeburg e.V. ni shirika lisilokuwa la kiserikali linaloongozwa na kanuni za Haki za Binadamu. Lengo lake kuu ni kusaidia watu ambao hawana uwezo wa kupata huduma za afya kutokana na sheria za Ujerumani.

Jinsi tunavyosaidia

Hatuwezi kutoa huduma ya matibabu wenyewe. Badala yake sisi hupanga matibabu na daktari anayefaa kulingana na matatizo ya afya yako. Panapohitajika, tunaweza pia kukutafutia mkalimani. Unaweza kuwasiliana nasi kwa kutupigia simu wakati wowote au ku ka kwenye o si zetu wakati wa masaa ya ushauri. Maelezo ya simu na anwani yetu yako nyuma ya karatasi hii.

Tunakuhakikishia

MediNetz Magdeburg e.V. pamoja na madaktari huhakikisha usaidiza pamoja na uaminifu. Hakuna data au habari binafsi itakayokusanywa au kupewa a sa wa mamlaka/serikali. Kulingana na matatizo yako ya kiafya, huduma za afya zitatolewa bure au kwa bei zilizopunguzwa.

Bure

Majina

Mashirika yasiyo ya urasimu

Mgonjwa na bila nyaraka? Wasiliana nasi leo

Wasiliana nasi

einewelt haus Magdeburg Schellingstraße 3-4 39104 Magdeburg
Jumanne 15.00 – 17.00 | 3.00pm – 5.00pm
(+49) – (0) 176 – 66 530 854

einewelt haus Magdeburg